Push Muziki Project 2015: Kwa Wale Wenye Vipaji vya Kuimba Sasa ni Zamu Yenu Kaa Mkao wa Kula

Kwa wale wasanii wachanga yaani Under Ground ni zamu yenu sasa Sbm Radio inakuletea bonge la Project ambayo yenye lengo la kuinua muziki wako….Sikiliza Sbm Radio Live kila siku za wiki kuanzia saa saba mchana na kuendelea 

kwa mawasiliano zaidi waweza piga simu namba +255 653 114 376 au +255 595 642 

Ukiona tangazo hili basi mwambie na mwenzako usiwe mchoyoooo hii ni Zamu yako nawe Kuwa Super Star

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS